Ajira Tanzania| Nafasi za Kazi Tanzania| Hire Today!| Frannie reposted this
TANGAZO LA KAZI. Wanahitajika Assistant Lecturers 2 wenye Masters degree katika specializations za: 1. Human Resource Management 2. Community Development. Taasisi: Teofilo Kisanji University (TEKU), Mbeya. Sifa zinazotakiwa: Awe na masters degree katika area hiyo lakini na bachelor degree iwe ni ya area hiyo. GPA: Kwenye first degree awe na at least 3.5 na Masters awe na at least 4.0. Wasiliana na Dr. Ntawigaya simu: 0765101477