Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Afya HPV ni kifupi cha Human Papilloma Virus ambayo ni chanjo dhidi ya saratani  ya shingo ya kizazi. Ina nafasi muhimu katika kutokomeza ugonjwa huu unaoathiri mamilioni ya wasichana na wanawake. Katika kila dakika 2, mwanamke mmoja anakufa kutokana na saratani ya shingo ya kizazi. Kuna baadhi ya maeneo idadi ya wagonjwa wapya ni ya juu hadi inatisha

Habari Nyinginezo

Ukuaji wa Kiuchumi Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la  Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) iliyotolewa leo Februarai 20, 2025 inaonya kwamba uchumi wa Syria hautafikia kiwango chake cha kabla ya vita hadi mwaka 2080 kama ukuaji wa kiuchumi hautaongezeka kwa kasi.
Msaada wa Kibinadamu Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani WFP, limerejelea kwa kiasi usambazaji wa misaada ya chakula katika sehemu za Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), likitoa msaada muhimu wa lishe kwa wastani wa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi miezi 59 waliokumbwa na utapiamlo, huku mapigano ya wiki tatu yakizidi kuathiri vibaya upatikanaji wa chakula kwa wale walio hatarini.